AJALI: Watu 9 wahofiwa kufariki kufuatia ajali ya boti mto Ruvuma

Pistol

Senior Member
Oct 13, 2015
194
86
Watu tisa wahofiwa kufa, 40 waokolewa baada ya boti walilosafiria kuvuka Mto Ruvuma kuzama jana usiku.

Kamati ya Ulinzi Mkoa yaenda kwenye tukio.

============

UPDATE

Mpaka sasa watu 9 hawajulikani walipo na inahisiwa kuwa huenda wameshafariki.

Watu 36 wameshaokolewa mpaka sasa, taarifa kutoka eneo la tukio linasema kuna changamoto za upatikanaji wa vifaa vya uokoaji mpaka sasa.

Boti hiyo inasemekana ilikuwa imezidisha idadi ya watu na mizigo.

Mto huo umesheni mamba na viboko.
 
Hizi ajali za kila siku mbona zitatumaliza jamani! Ee Mwenyenzi Mungu tunakuomba utuepushe na haya majanga!
 
Mpaka wa tanzania na msumbiji ni mto ruvuma kweli ? Mbona watu wa mitomoni wa mitomoni wapo upande wa pili wa mto. Kuna haja ya kuchora ramani zetu vizuri
 
Back
Top Bottom