LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,496
- 3,389
Nimepita hapo mahali hivi punde. idadi ya marehemu haiwezi kufikia hiyo idadi ulitoitaja MkuuNinasikitika kuawaarifu kua kuna ajali mbaya imetokea Ubongo Riverside ambapo gari aina ya lori limeacha njia na kugonga watu.
Kwa uchache inasemekana maiti 20 zimeokotwa eneo la ajali.
Habari zaidi zitawajia hivi punde
Inawezekana sadaka za damu zinatakiwa kuzimu!!!!!!!! Ehee Mungu tuepushe na roho ya ajali na laana ya kuzimu!!! Watanzania kutubu na kumpokea Yesu na kuacha madhambi ni muhimu na Maombi pia!!!!!!!!!free maseee @ work
kuna ajali imetokea river-side pale ambapo lori limepoteza mwelekeo na kugonga magari mengine manne na kisha kudondokea daladala lilojaa abiria..watu wamefariki huku wengine wakikatika vichwa...harakati za kuwanasua zinaendelea
Mkuu Livapool hao wakombozi ni kina nani??????? Kazi yao ni ipi????????Hii sasa ni freemason ila ngoja wale wakombozi walioko mtwara watatua hapo Dar na hata huku kanda ya kaskazini na patachimbika. Poleni wote waliofikwa na mauti na marehemu wote walale kwa Amani ya bwana!
Hizi ajali za barabarani sasa jamani! Magari mabovu yanaruhusiwaje kutembea barabarani? Na madereva wasiokuwa na leseni wamejaa tele mitaani!