Ajali tena, ni basi la Hood!

kuchangumu

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2014
Posts
724
Reaction score
290

Basi la hood lapinduka asubuhi hii kwenye msitu wa mufindi taarifa zaidi baada nimetumiwa picha na mtu aliyeko eneo la tukio
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1396429855.503119.jpg
    40.7 KB · Views: 821
Duuh mdudu kaingia kwa Hood!ndani ya wiki ajali 2 barabara hiyo hiyo
 
Poleni sana majeruhi mpone haraka.
Nguvu kazi ya Taifa inapotea kwa ajali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…