Poleni sana hususan wafiwa. Morogoro road inatakiwa kupanuliwa at least mpaka Chalinze.
Wadau ni kweli wasafiri wa leo kati ya DSM na MORO ni mateso makubwa kwani mpaka sasa saa tano asubuhi hii hakuna gari yoyote ya kutoka DSM iliyopita hapa stendi MORO.
Hapo mahala 'MISEYU'sijui kuna shetani gani.Maana wiki tatu zilizopita kuna ghari ya Azam ilikula mzinga hapo kwenye kona ya kutelemka kuelekea morogoro!
nchi hiii bwana, yaani kila kitu bora liende, nashangaa yakianza majigambo ya vyuo, eti udsm wanatoka kifua mbele kuwa wanaongoza kutoa watu wenye madaraka mmakubwa serikalini, mmadaraka makubwa with no meaning ......mchumi gani huyu hawezi even kuona oppotunity costs?, mambo ya kipumbavu yanaendelea yeye yupo japan, hapo kijitonyama mtu ametumbukia kisimani, inawezekanaa asipate taarifa au anajuaa kilichofanyika lkn atkaa kinya kama babu na wajukuul azi ipo hiki kipindi kilichobaki, tunalo watz!
poleni sana ila tutaomba waokoaji toka japan waje kutufundisha uokoaji
kwakweli watu wanaotia huruma pale ni abiria na wale wafanyabiashara wa NYANYA WANAOWAH KARIAKOO
What is the status now? It is 13:08 now....barabara imeshafunguliwa? Magari yanatembea? The government can't afford a highway to be closed for such a long time!