Inabidi pale patupiwe macho na wanusalama wa barabarani.
Siku moja nilishuhudia lori limefeli breki likushuka kwa spidi derva aka ruka akanza kuwafukuza watu waondoke kwani Lori nimemshinda likaingia kwenye bar pale likagonga jiko likauwa pale pale waliokuwa bar walikimbia maana waliona kifo hiki hapa, kikweli ilikuwa hatari sana.