Ajali sasa basi

Aliyechora hiyo dotted line hapo bila kujua kuna scenario kama hizo barabarani
 
Umeongea vizuri sana, ukijiona wewe ndiyo mwenye haki barabarani utasababisha ajali nyingi sana, namba 1 ana uwezo wa kupunguza speed ili huyo namba 2 apite, hata namba 4 pia angefanya the same hii utaepusha ajali sana, sasa unakuta umeshaona mwenzako kakosea wewe unatunisha kifua na kukazana kukanyaga mafuta,
 
Kosa lipo hapo ku overtake kwenye road sign inayokataza ku overtake
 
Kosa lipo hapo ku overtake kwenye road sign inayokataza ku overtake View attachment 1565054
Nyie ndio mliletewa licence na mjomba, aliyekwambia doted line inakataza ku overtake ni nani

Nikufahamishe tu kua doted line inaruhusu ku overtake so kwa muktadha wa sheria za barabarani hapo mwenye kosa ni no 2 (mstari usio doted maana yake haruhusiwi kuovertake) lakini pia no tatu anaweza kua na kosa kwa kutojiridhisha kama mbele ni salama kabla hajaovertake.

Lakini kama namba 2 angefuata sheria ( mstari umemkataza kuovertake) basi namba tatu angeovertake smoothly na huo utata hapo wala usingekuwepo.
 
We kweli bwabwa, unatumia nguvu kuelezea huna unachokijua, leseni nililetewa na mshua sasa wewe kinakiuma nini, nilikutuma mzee wako awe masikini ili asikulete leseni nyumbani wivu tu nyau we
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…