mama dunia
JF-Expert Member
- Dec 22, 2011
- 420
- 84
Kuna coaster imedondokea bondeni..bonde la before sheli ya resort..kama umetokea ubungo.bonde kubwa jamani sijui majeruh inakuwaje huko walikopelekwa hospt!watu weng mno sijaweza piga picha
Kuna coaster imedondokea bondeni..bonde la before sheli ya resort..kama umetokea ubungo.bonde kubwa jamani sijui majeruh inakuwaje huko walikopelekwa hospt!watu weng mno sijaweza piga picha
Looh ilikuwa inatokea wapi mkuu,poleni majeruhi wote
Resort kimara?baada ya korogwe?upande wa kushoto kama unaelekea kimara mwisho?
Aisee kuna mtu wangu muhimu sana kapanda coaster kuelekea huko muda si mrefu...na hapatikani hewani aiiiiiseeee!!! Mungu wangu niepushie hii