Tatizo la rushwa, leseni zinauzwa kama njugu. Madereva wasio na udereva wanaendesha gari.
kweli kabisa unamshukuru Mungu!now days ukisafiri na kurudi salama kwako ni jambo la kumshukuru sana Mungu ati!!!
Tatizo la rushwa, leseni zinauzwa kama njugu. Madereva wasio na udereva wanaendesha gari.
Ni hiyo hiyo uliyowekwa kwenye picha... hilo ndilo basi la Ng'itu lililopinduka kijiji cha Sinza huko Miteja, wilayani Kilwa karibu na NangurukuluLeo pia Bus la Ng'itu liendalo kati ya Dar-Mtwara limepinduka kati ya Nangurukuru na kijiji cha Sinza Wilayani Kilwa...