tuombe kuwe na majeruhi tu asife mtu
Habri nlizonazo toka kwa mmoja wa ndugu yangu ambaye anasafiri ya GREEN STAR akitokea mbeya wamekwama kupita chalinze baada ya kukuta ajali iliyokutanisha gari ya mafuta na toyota ndogo.
Kuna majeruhi bado wanaendelea kutoa wengine zaidi waliobanwa chini ya gari.
Ntaendelea ku-update zaidi
wewe jua ni gari ndogo. kama abiria wanne na dereva.Toyota ndogo ndio gari gani? Vitz,Fun Cargo,Passo,ist?
Hizi ajali jamani. Poleni majeruhi.
Katavi mi najiulizaga sana:
hivi kunamahusiano gani kati ya mwisho wa mwaka na wingi wa ajali???!
Sjapata jibu!
swali langu tena, hizi ajali mwisho wa mwaka ni hofu za madereva ma maneno ya watu tu, ama ni kweli kunakuwa na kafara ndani yake?
Ajari ajari ajari, zitatumaliza hata kuliko ukimwi. Mungu twaomba kikombe hiki cha ajari kituepushe mbali.[/QUOT kwa maana imeandikwa waendeshaji wa mwendo wa kasi za ajabu wanatapata ajali
Poleleni
Uhusiano uliopo ni kwamba mwisho wa mwaka madereva wengi waliozoea kuendesha kati ya kinondoni na posta wanageuka madereva wa masafa dar mby, dar bkb ,dar msh, dar songea nk nk . cha ajabu kutokea kwa ajari kitakuwa ni ni wakati idadi ya wanaoendesha magari huku wamesinzia imeongezeka barabarani ?