NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,250 Oct 26, 2014 #2 Ha!ha!ha! Huo mlango inaonekana ni wa kuengeshwa tu tunaend sasa konda akajisahau ndo yakatokea hayo ninayoyaona kunako Picha.
Ha!ha!ha! Huo mlango inaonekana ni wa kuengeshwa tu tunaend sasa konda akajisahau ndo yakatokea hayo ninayoyaona kunako Picha.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,372 Reaction score 111,695 Oct 26, 2014 #3 hii kitambo sana enzi za dungu...
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,098 Oct 26, 2014 Thread starter #4 NAPITA said: Ha!ha!ha! Huo mlango inaonekana ni wa kuengeshwa tu tunaend sasa konda akajisahau ndo yakatokea hayo ninayoyaona kunako Picha. Click to expand... Hizi daladala ni full majanga utakuta steering rack imefungwa na wire au springs zimefungwa na mpira
NAPITA said: Ha!ha!ha! Huo mlango inaonekana ni wa kuengeshwa tu tunaend sasa konda akajisahau ndo yakatokea hayo ninayoyaona kunako Picha. Click to expand... Hizi daladala ni full majanga utakuta steering rack imefungwa na wire au springs zimefungwa na mpira
OLESAIDIMU JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 19,139 Reaction score 9,575 Oct 26, 2014 #5 Ha ha aaaa doel na bearing kwisha, njia ya reli imetanuka!!!!
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,098 Oct 26, 2014 Thread starter #6 watu8 said: hii kitambo sana enzi za dungu... Click to expand... Haijazidi miaka mitatu lakini
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,281 Oct 26, 2014 #7 Hizi ni zile daladala za usiku. Madereva wake kawaida nimateja
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,098 Oct 26, 2014 Thread starter #8 Jile79 said: Hizi ni zile daladala za usiku. Madereva wake kawaida nimateja Click to expand... Ila hapo limeendeshwa mchana tena ni njia ya Tabata hiyo
Jile79 said: Hizi ni zile daladala za usiku. Madereva wake kawaida nimateja Click to expand... Ila hapo limeendeshwa mchana tena ni njia ya Tabata hiyo
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,281 Oct 26, 2014 #9 mshana jr said: Ila hapo limeendeshwa mchana tena ni njia ya Tabata hiyo Click to expand... Hiyo sasa balaa.... nilidhani pengine ni huko porini kabisa
mshana jr said: Ila hapo limeendeshwa mchana tena ni njia ya Tabata hiyo Click to expand... Hiyo sasa balaa.... nilidhani pengine ni huko porini kabisa