Ajali nyingine twajitakia!

Majoja

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
612
186
Kutokana na wimbi la ajali zinazoendelea nchini hivi sasa , nyingi zinatokana na uzembe mkubwa wa binadamu.
Uzembe kwa pande zote wasimamizi wa usalama barabarani na hata wenye vyombo vya moto.
Mchana huu nimeshuhudia kijiko kikisafirishwa BILA kufungwa kwa chain block kwenye low loader(T262 AFC).
Chuma ikikaa juu ya chuma inatereza hata kwa kufunga breki tu.
Masikini huyo jamaa wa RAV4(T695 ATV) hajui hata hatari inayomkabili pindi mashine hiyo kubwa itakapo teleza. CIMG0012.JPG
 
sasa ulitaka apaki gari au ?

kaka MTM soma mada uielewe. anasema ajali nyingine tunajitakia. huyu mleta mada alikuwa kwenye gari la nyuma, akimfuata huyo wa RAV 4 T.695 ATV. Wote hawana makosa, kwani wakati koleo/kijiko hicho kinawekwa tayari kwa safari, hawakuwepo.

Uzembe anaouzungumzia ni waliopakia hilo dozzer, pasipo kuweka tahadhari ya kuzua ajali kama kulifunga na kuomba escort za gari dogo ambalo huwa linatangaza lkabisa WIDE LOAD. wao hawajafanya hivyo, na ajali ikitokea, mwenye gari lililobeba dozzer/kijiko ndiye kaandaa mazingira ya ajili. yaani kaitengeneza ajali
 
Hatuna kitengo cha udhibiti wa halim kama hizi

Mie naona hata makontena ya kisafiri yameegeshwa tu na tulishashuhudia ajari nyingi zinazotokana na uzembe huu.
Tanza
nchi ya
 
Kutokana na wimbi la ajali zinazoendelea nchini hivi sasa , nyingi zinatokana na uzembe mkubwa wa binadamu.
Uzembe kwa pande zote wasimamizi wa usalama barabarani na hata wenye vyombo vya moto.
Mchana huu nimeshuhudia kijiko kikisafirishwa BILA kufungwa kwa chain block kwenye low loader(T262 AFC).
Chuma ikikaa juu ya chuma inatereza hata kwa kufunga breki tu.
Masikini huyo jamaa wa RAV4(T695 ATV) hajui hata hatari inayomkabili pindi mashine hiyo kubwa itakapo teleza.View attachment 40109

Kwa kuangalia picha naona mwenye loli lililo beba kijiko....hiyo tera yake ya nyumba na yenyewe una kama meno so risk za kuanguka hilo likijiko ni wa aliye pembeni lakini ni ndogo sana...kulinganisha na kama tera lililo beba mzigo lingekuwa halina mejo ambayo yameshikamana na meno ya kijiko.
labda ligongwe kwa pembeni ili liweze tereza kwa upand limuangukie mwenye rav 4....Ni hayo tu kwa leo.
 
kaka MTM soma mada uielewe. anasema ajali nyingine tunajitakia. huyu mleta mada alikuwa kwenye gari la nyuma, akimfuata huyo wa RAV 4 T.695 ATV. Wote hawana makosa, kwani wakati koleo/kijiko hicho kinawekwa tayari kwa safari, hawakuwepo.

Uzembe anaouzungumzia ni waliopakia hilo dozzer, pasipo kuweka tahadhari ya kuzua ajali kama kulifunga na kuomba escort za gari dogo ambalo huwa linatangaza lkabisa WIDE LOAD. wao hawajafanya hivyo, na ajali ikitokea, mwenye gari lililobeba dozzer/kijiko ndiye kaandaa mazingira ya ajili. yaani kaitengeneza ajali
Kama wangeweka neno WIDE LOAD na hilo gari kubwa,kipi utakiona mwanzo????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom