Ajali nyingine mbaya Mohamed Trans

Ajali nyingine mbaya Mohamed Trans

Ni kweli...
Anaitwa Bernadeta Minja she was my friend and School mate
May her Soul Rest in Peace

Oh! Poleni sana. Ni pigo kwa taifa kupoteza nguvu kazi muhimu kama hiyo. Ukizingatia uhaba wa wahadhiri hapo UDOM.

PKA Mhadhiri Minja.
 
May their souls RIP na nawatakia majeruhi shufaa
 
Kweli haya mabasi ya mohamedi sio ya kupanda. madereva hawajali kabisa hata ukiwaambia wapunguze mwendo wanakuuona wewe punguani.mungu atulinde kwa kweli.
 
yes,kafara zinaendelea! ukikaa kihasara hasara ndo hivyo tena! Either light /dark side
 
Nimepata taarifa usiku huu kuwa kuna ajali mbaya imetokea barabara ya Moro-Dom iliyohusisha basi la Mohamed Trans. Ajali imetokea eneo la kijiji cha Kiegea. Waliokufa hapo hapo watu 5 na majeruhi ni wengi sana karibu basi zima.
Walioko eneo la tukio watuarifu wana jamvi

Kila kukicha Mohamed trans kaua. Mi nafikiri ifike wakati hii kampuni ifutwe kabisa kutoa huduma. Haiwezekani kwa mwaka mmoja hayapungui mabasi matano kwa ajali mbaya zinazogharimu maisha ya maskini wenzetu. Poleni sana mliopoteza ndugu na jamaa. Haya ndio matunda ya rushwa.
 
Ni kweli...
Anaitwa Bernadeta Minja she was my friend and School mate
May her Soul Rest in Peace

Yani inasikitika kumpoteza huyu Dada Bernadeta Minja (my university mate). She was a career woman na nyota yake ilikua imeanza kung'ara and was a role model of her family. Nasikia amefariki yeye na mfanyakazi wake wa ndani. Mama yake pia alikua kwenye hiyo ajali na amejeruhiwa vibaya kichwani. Ndani ya basi alikua pia na mtoto wake mchanga (around 3 months) and i heard kwamba mtoto amesalimika...

Sooo Sad jamani
 
R.I.P Madam Minja, nakukumbuka ulinifundisha Economic mwaka wa 1.
 
Kweli haya mabasi ya mohamedi sio ya kupanda. madereva hawajali kabisa hata ukiwaambia wapunguze mwendo wanakuuona wewe punguani.mungu atulinde kwa kweli.

Pia makondakta wake wana roho mbaaaaya kila saa kugombeza tu abiria, hata ukimuuliza kitu kwa nia nzuri, siyapendi mabasi ya MTL at all
 
Pia makondakta wake wana roho mbaaaaya kila saa kugombeza tu abiria, hata ukimuuliza kitu kwa nia nzuri, siyapendi mabasi ya MTL at all
yaani hujakosea ubinadamu kwao nyuma, sijui ndo bange wanazovuta uibilisi tu yaani ukitaka msaada kwao ni shida kwa kweli.
 
yaani hujakosea ubinadamu kwao nyuma, sijui ndo bange wanazovuta uibilisi tu yaani ukitaka msaada kwao ni shida kwa kweli.
Imagine siku moja nilikuwa nimemsindikiza rafiki yangu pale ubungo, sasa wakati ameshapanda nikawa nimesahau kumpatia kadi ya muda wa maongezi ambayo nilishainunua, wakati narudi kumpatia walianza kunigombeza mimi na yule rafiki yangu as if sijui tuko jela ya afrika vile, tena serious kabisa wanatugombeza kama watoto vile. For me sikupendezewa na tabia zao hata kidogo. Nilijua ni mimi tu niliona hilo.
 
Back
Top Bottom