hahahaha
Nilikuwa nikisikiliza ghafla mtangazaji akatoa hii taarifa mkuu.
Kwahio leo tu tumepoteza jumla ya watu 18 papo hapo!!!!! Kwa ajali tu? je ni wangapi jkati ya hao watabaki mahutui? Vilema na je ni familia ngapi zitaachwa bila msaada? MUNGU baba tuepushie, huu mwezi wa Septmber unakuaga na ajali sana