Ndio swali la kujiuliza hiloHivi mpaka katibu wa Uenezi anakuwa na msafara kwanini asitembee na Gari mbili tu?
Nani kakudanganya kuwa anaweledi?Mungu amlinde leo na kesho ili tuweze kuongozwa na kiongozi shupavu mwenye weledi mkubwa kwa Taifa letu la Tanzani kwa ujumla
Hiv kumbe mtu anaeongea sana ndo kiongozi shupavu na weledi.Mungu amlinde leo na kesho ili tuweze kuongozwa na kiongozi shupavu mwenye weledi mkubwa kwa Taifa letu la Tanzani kwa ujumla
Mungu awape ahueni majeruhi haraka iwezekanavyo .Kwani Si siasa zimekatazwa?
Wakati mwingine ata laana ya kutaka wao tu Ndio wafanye siasa inawatafuna!