Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,714
you have to...maana hakuna namna nyingine!Tena! I don't want to believe this!
Sijui ni watngapi watasoma post yako na kukuelewa maana hoja yako ndio hoja mama wa tatizo hili.Leseni za mitaani
Gari aina ya Canter lenye namba za usajili T 798 CNF lililokuwa linatoka Morogoro kwenda Moshi limegongwa na Lori aina ya DAF lililokuwa linawaovertake Magari manne sasa hawaelewi kilichotokea ila bodi ya Lori ikawagonga na wao kuanguka.
Kwa sasa wapo Mazimbu Hospitali Morogoro wakipatiwa matibabu.
Ajali imetokea Bwawani Morogoro.
View attachment 244218
View attachment 244217