mchlmmnl2
Senior Member
- Jul 13, 2013
- 168
- 56
Gari la Cocacola latumbukia mtaroni usiku wa kuamkia leo maeneo ya barabara ya Shinyanga karibu na ofisi za Manispaa ya Shinyanga hakuna taarifa za majeruhi wala kifo katika ajali hiyo.
Soda harali yenu, kunyweni