Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,546
Una uhakika sio chanzo cha ruzuku ya Dr wenu?
Kweli ni chanzo cha ruzuku ya Dr. Fastjet a.k.a mukulu
Una uhakika sio chanzo cha ruzuku ya Dr wenu?
Mkuu hata CIVICS ya form one tu inajibu swali lako. Serikali siyo hewa wala mti wala lidudu linaloelea hewani bali ni mimi na wewe, yule na yeye.Yasome vizuri tena haya maneno yako ya mwanzo na uyatafakari kaka...nadhani utapata picha kwa nini nilikujibu vile pale juu...
Hakuna shaka yoyote kuwa kuiibia serikali mapato ni uizi, au kwa lugha nzuri zaidi huwa inaitwa kuhujumu uchumi
Maandishi mekundu yanabainisha kabisa uliowalenga ni watu na sio serikali....zaidi umetabanaisha kuwa hiyo mali imeibwa.
Huyo jamaa namkubali sana tokea siku nyingi, na kama sikosei ndiye yule yule mwandishi wa makala nzito nzito.
Manyerere Jackton, haijalishi ni kwa kiasi gani lakini unaonyesha siku za mbeleni waweza kuwa nguli wa habari, nakukubali maana habari kubwa kubwa daima zinaanzia kwenye 'petty reporting' kama hizi.
Una hisa nini? haijalishi ina uzito gani habari ni habari kwanza tuanzie hapo mengine yatafuata baadaye. Hata bungeni huko kwenye magamba wenzio wengi huwa kunasomwa taarifa ya awali halafu ya pili huwa inasomwa baadaye....Badala ya watu kukimbilia kumtaka Manyerere ajaze Nyama kwenye taarifa yake, tunakimbilia kuchangia kule alikotaka taarifa yake itupeleke! Kwamba kilichokuwa kinasafirishwa ni Shaba ya Magendo!
Umejuaje kwamba ni ya Magendo? ilikuwa inatoka wapi kwenda wapi?
Kilichokufanya uwaze kuwa ni ya magendo ni nini?
Kwa sababu tu imesafirishwa kwenye mapipa 'yanayofanana' kama mapipa ya lami??
Hivi kweli wote hatufahamu kuwa kuna Containers zinazofanana na mapipa ya lami ambazo zinatumiwa kusafirishia mizigo ambazo zikipata ajali na kupasuka bidhaa iliyo ndani yake sio lazima iwe ya Magendo??
Manyerere kuna taarifa muhimu zaidi ambazo ungeweza kutupa kuhusu ajali hiyo kabla ya kukimbilia kwenye habari za magendo:
Ajali hiyo imesababishwa na nini?
Imehusisha hilo Lori na magari yepi mengine?
HAKUNA MAJERUHI??????
Habari nusu nusu kama hii ikiletwa na muandishi wa habari wa muda mrefu, Inasikitisha...
:nimekataa:nimekataa
Kwenye uandishi kuna kitu kinaitwa "Old School". Kwa mfano, zamani ilitakiwa mwandishi akifika kwenye tukio, kwa mfano la ajali, hata kama atakuta maiti wametengenishwa vichwa na viwiliwili, lazima kwanza athibitishiwe na madaktari kwamba hao waliopata ajali, wamefariki dunia! Ndipo hapo kwenye akili unajiuliza, hivi kweli mtu hana kichwa bado unaamini kuwa ni mzima? Basi, pengine kama ni mazingaombwe, sawa....Badala ya watu kukimbilia kumtaka Manyerere ajaze Nyama kwenye taarifa yake, tunakimbilia kuchangia kule alikotaka taarifa yake itupeleke! Kwamba kilichokuwa kinasafirishwa ni Shaba ya Magendo!
Umejuaje kwamba ni ya Magendo? ilikuwa inatoka wapi kwenda wapi?
Kilichokufanya uwaze kuwa ni ya magendo ni nini?
Kwa sababu tu imesafirishwa kwenye mapipa 'yanayofanana' kama mapipa ya lami??
Hivi kweli wote hatufahamu kuwa kuna Containers zinazofanana na mapipa ya lami ambazo zinatumiwa kusafirishia mizigo ambazo zikipata ajali na kupasuka bidhaa iliyo ndani yake sio lazima iwe ya Magendo??
Manyerere kuna taarifa muhimu zaidi ambazo ungeweza kutupa kuhusu ajali hiyo kabla ya kukimbilia kwenye habari za magendo:
Ajali hiyo imesababishwa na nini?
Imehusisha hilo Lori na magari yepi mengine?
HAKUNA MAJERUHI??????
Habari nusu nusu kama hii ikiletwa na muandishi wa habari wa muda mrefu, Inasikitisha...
:nimekataa:nimekataa
Kwa hiyo wewe hupendi nikisifia kazi tukufu ya mtu? au unataka nisifie wizi unaofanywa na wenzako kwenye mbuga zetu. Wenye hekima watakuwa wamekuelewa wewe ni nani.....Umemuelewa kweli Omujubi??
Ahsante kaka kwa kumpa elimu huyu binadamu. Endelea kuchapa kazi usisikilize maneno ya watu, sisi wakongwe wenzako tunafahamu kazi zako za uhakika tokea enzi hizo.Kwenye uandishi kuna kitu kinaitwa "Old School". Kwa mfano, zamani ilitakiwa mwandishi akifika kwenye tukio, kwa mfano la ajali, hata kama atakuta maiti wametengenishwa vichwa na viwiliwili, lazima kwanza athibitishiwe na madaktari kwamba hao waliopata ajali, wamefariki dunia! Ndipo hapo kwenye akili unajiuliza, hivi kweli mtu hana kichwa bado unaamini kuwa ni mzima? Basi, pengine kama ni mazingaombwe, sawa.
Ninachotaka kusema hapa ni kwamba akili ya kawaida kabisa haiwezi kukubali kuwa shaba inaweza kusafirishwa ikiwa imefungiwa ndani ya mapipa! Shaba ndani ya mapipa!!! Hapana! hiyo si shaba halali!
Pil, nakubali nimeleta habari nusu nusu. Hii ndiyo maana ya breaking news! Details kwa kawaida huletwa baadaye. Haiwezi kutokea ajali hapo hapo ukamjua mmiliki wa gari, shehena ilikotoka, mmiliki wa shehena hiyo, nk. Subiri kidogo utapata taarifa kamili
Kwenye uandishi kuna kitu kinaitwa "Old School". Kwa mfano, zamani ilitakiwa mwandishi akifika kwenye tukio, kwa mfano la ajali, hata kama atakuta maiti wametengenishwa vichwa na viwiliwili, lazima kwanza athibitishiwe na madaktari kwamba hao waliopata ajali, wamefariki dunia! Ndipo hapo kwenye akili unajiuliza, hivi kweli mtu hana kichwa bado unaamini kuwa ni mzima? Basi, pengine kama ni mazingaombwe, sawa.
Ninachotaka kusema hapa ni kwamba akili ya kawaida kabisa haiwezi kukubali kuwa shaba inaweza kusafirishwa ikiwa imefungiwa ndani ya mapipa! Shaba ndani ya mapipa!!! Hapana! hiyo si shaba halali!
Pil, nakubali nimeleta habari nusu nusu. Hii ndiyo maana ya breaking news! Details kwa kawaida huletwa baadaye. Haiwezi kutokea ajali hapo hapo ukamjua mmiliki wa gari, shehena ilikotoka, mmiliki wa shehena hiyo, nk. Subiri kidogo utapata taarifa kamili
Ahsante kaka kwa kumpa elimu huyu binadamu. Endelea kuchapa kazi usisikilize maneno ya watu, sisi wakongwe wenzako tunafahamu kazi zako za uhakika tokea enzi hizo.
Sasa hwa vijana wa leo leo wanaibuka na kuanza kukosoa hata breaking news, sasa ukisubiri mpaka uchunguze kama mmiliki ni nani hiyo tena si itakuwa documentary.
Kwa hiyo wewe hupendi nikisifia kazi tukufu ya mtu? au unataka nisifie wizi unaofanywa na wenzako kwenye mbuga zetu. Wenye hekima watakuwa wamekuelewa wewe ni nani.
Maneno ya mshindwaji, umenikumbusha enzi za utotoni ilikuwa mkibishana kuhusu hoja fulani halafu ikatokea ukashindwa hoja unamwambia mwenzako, "lione linajidai"...Jifariji.🙂
Nimemuelewa vizuri sana na ndiyo maana nikampa big up! wewe ulitaka nipinge kwamba breaking news haziji kwa mfumo kama huo?....Umemuelewa kweli Omujubi??
Una hisa nini? haijalishi ina uzito gani habari ni habari kwanza tuanzie hapo mengine yatafuata baadaye. Hata bungeni huko kwenye magamba wenzio wengi huwa kunasomwa taarifa ya awali halafu ya pili huwa inasomwa baadaye.
Nimemuelewa vizuri sana na ndiyo maana nikampa big up! wewe ulitaka nipinge kwamba breaking news haziji kwa mfumo kama huo?
Kwa mtu yeyote mwenye busara atajiuliza mara mbili iweje upate gagaziko pindi kazi ya mwenzako inaposifiwa. Ni hapo tu wala nilikuwa sina muda wa kujibizana na wewe, akili yangu ilikuwa kwenye hoja nzito iliyoletwa jamvini....We naee! Naamini kuna Watu zaidi ya Milioni moja wataisoma taarifa Hii. Unadhani Kila mtu ataisoma tu basi bila angalau tu kujiuliza maswali mepesi tu kama nilivyojiuliza mimi???
...halafu mkuu, ni mawazo kama hayo niliyopigia mstari hapo chini, kwamba kutaka ufafanuzi wa jambo ni kuwa na hisa na jambo husika ama ni kuwa gamba, ndio maana tunapiga mark-time hapa tulipo! Si lazima wote tuwaze unavyotaka wewe ndio tuonekane ni M4C ndugu yangu...!
Hata mtoa taarifa mwenyewe ameliona hili na ndio maana amekubali kutuletea taarifa hii in Detail baadae. Inawezakana kwamba nisingehoji ndio taarifa hiyo ingeishia hapo! Hili halikufundishi kitu Mkuu wangu??🙂
Maneno ya mshindwaji, umenikumbusha enzi za utotoni ilikuwa mkibishana kuhusu hoja fulani halafu ikatokea ukashindwa hoja unamwambia mwenzako, "lione linajidai".
Vijana hawajachangamkia kupata mali hapo? Maana hailipuki kama petrol ati. Ukiiba nawe jiandae kuibiwa!! Kula nawe uliwe -alisema mkuu wangu wa nchi siku anatoa hotuba yake bungeni pale alipugusa masuala ya epa eti kuna mtu alichoma utambi!!!! Ha ha ha!!