Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,957
mkuuu nikweli haya???
Mkuu ni kweli kabisa, niliisikiliza ile hotuba hadi mwisho na nilisikitika sana. Ungepata clip yake ungesikia mwenyewe na masikio yako!!! Alisema kabisa eti kuna mtu naye alikuwa anataka fedha ya EPA na alipokosa akachoma utambi, kitu ambacho ni kweli maana hata post za awali za JF katika ile chain ya EPA zilitaja kabisa jina la yule mhindi aliyechoma utambi baada ya yeye kukosa. Nikafurahi zaidi aliposema "Kula nawe uliwe" Hayo yalikuwa ni quotes of the day!!