WILLY GAMBA
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 211
- 87
Nuru ya milele iwaangazie Watanzania wenzetu.
Hivi akina Mtela , Shonza na Madelu si wanatumia Land Cruiser?
Hivi akina Mtela , Shonza na Madelu si wanatumia Land Cruiser?
Leseni mpya haisaidii kupunguza ajali
Ni hapo daraja la treni mkuu? ni aina gani ya magari?

Nuru ya milele iwaangazie Watanzania wenzetu.
Hivi akina Mtela , Shonza na Madelu si wanatumia Land Cruiser?
Swala la utii wa sheria za barabarani watanzania tunatakiwa tuongeze bidii vinginevyo tunamalizana. Poleni wafiwa na Mungu awajalie majeruhi wapone.
mweh!!! eeeh tata...TOYOTA LAND CRUSER na HIACE
Nuru ya milele iwaangazie Watanzania wenzetu.
Hivi akina Mtela , Shonza na Madelu si wanatumia Land Cruiser?
Mkuu hii ni ajali mbaya sana...ukichukuliwa wengine ndugu zetu wanaishi maeneo ya jirani( Sae, RRM na Uyole) na eneo la tukio, usije ukakuta walikuwa ni abiria katika daladala hiyowatu8 Hii habari na picha zipo hapa kwenye uzi mwingineLink: https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/462139-ajali-barabara-ya-mbeya-tunduma.html