Ajali mbaya

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
1460031214395.jpg
 
Mbaya zaidi nyuma ya hao wahanga kuna wahanga zaidi poleni wote mliofikwa na hiyo ajali mbaya.
 
Dah ajali zimekua nyingi sana siku hizi nadhani trafiki ni jipu kubwa sana
 
Ni masoja wa gwaride pekee ndio watakuwa wamechubuka tu kwenye hiyo ajali maana hawakuwa na maslahi saana na sherehe.
 
Back
Top Bottom