Ajali mbaya ya lori Kapunga

twatwatwa

JF-Expert Member
Sep 19, 2011
2,067
419
Nimepigiwa simu toka huko kapunga Mbeya kuna ajali imetokea huko.

Lori lilobeba watu zaidi ya 90 limeanguka ubavu na kubuluzika umbali mrefu watu zaidi ya ishirini inasemekana wametutoka huku wengine wemesambaratika viungo hasa mikono.

Kwa walio Mbeya mnaweza fatilia hilo tukio,,nimepigiwa toka huko
 
Wana Mbeya tafadhali tuhabarisheni yaliyo ya ukweli ikiwezekana upload matukio kwa picha
nimepigiwa simu toka huko kapunga mbeya kuna ajari imetokea huko. lori lilobeba watu zaidi ya 90 limeanguka ubavu na kubuluzika umbali mrefu watu zaidi ya ishirini inasemekana wametutoka huku wengine wemesambalatika viungo hasa mikono kwa walio mbeya mnaweza fatiria hilo tukio,,nimepigiwa toka huko
 
Kwa taarifa nilizozipata kutoka kwa mtu aliye maeneo ya Chimala, maiti ambao wameshaletwa hapo hospitali ya Chimala mission wamekwishafikia 38 na majeruhi zaidi ya 40. Hilo lorry lilikua limebeba watu wanaokwenda kufanya kazi kwenye mashamba ya mpunga Kapunga.

r.i.p wakulima
 
Ni kweli ajali imetokea leo alfajiri maeneo ya kapunga - mbarali,maiti ni zaidi ya 30 na majeruhi wengi zaidi. Inasemaka barabara ilikuwa na utelezi lori liliacha njia na kupinduka.
 
mbona watz twafa kiasi hiki?.Polisi/TRA kuweni makini na leseni mnazotoa kwa madereva wasiyo na viwango.POLENI SANA WAFIWA MUNGU AWAPE FARAJA.
 
mungu awasaidie majeruhi wapate huduma bora hospitali hapo ili wapone vinginevyo tunaweza tukawakosa na wao.
 
taarifa ya habari Ya chanel10 ya saa moja wameripoti ni watu watano ndio waliopoteza maisha.
R.I.P marehemu wote.
 
mungu awasaidie majeruhi wapate huduma bora hospitali hapo ili wapone vinginevyo tunaweza tukawakosa na wao.

Taarifa rasmi toka hospitali ya misheni ya chimala ni watu wanne mpaka jioni hii waliofariki kwa ajali hiyo kwa maana kwamba maiti tatu papo hapo kwenye eneo la tukio na mmoja amefariki majira ya saa sita mchana hospitalini na majeruhi wamepelekwa Rujewa na Hospitali ya rufaa mbeya. Chanzo mganga mkuu chimala mission hosp. Na pia dereva anayedhughulikia kwa ukaribu huduma kwa majeruhi hospitalini hapo
 
...Mola awalaze mahali pema peponi....japo idadi kamili hatutaijua, inasikitisha kupoteza watu wengi kiasi hiki.
 
Taarifa rasmi toka hospitali ya misheni ya chimala ni watu wanne mpaka jioni hii waliofariki kwa ajali hiyo kwa maana kwamba maiti tatu papo hapo kwenye eneo la tukio na mmoja amefariki majira ya saa sita mchana hospitalini na majeruhi wamepelekwa Rujewa na Hospitali ya rufaa mbeya. Chanzo mganga mkuu chimala mission hosp. Na pia dereva anayedhughulikia kwa ukaribu huduma kwa majeruhi hospitalini hapo

Nadhani hii iko sahihi! Pole kwa wahanga wote!
 
Duh! Poleni sana wahanga wa tukio hilo!Mungu awafanyie wepesi mpone haraka na wafiwa awatie nguvu na matumaini.
 
Nimepigiwa simu toka huko kapunga Mbeya kuna ajali imetokea huko.

Lori lilobeba watu zaidi ya 90 limeanguka ubavu na kubuluzika umbali mrefu watu zaidi ya ishirini inasemekana wametutoka huku wengine wemesambaratika viungo hasa mikono.

Kwa walio Mbeya mnaweza fatilia hilo tukio,,nimepigiwa toka huko
Hivi ile amri ya malori yasibebe abiria ilifutwa?!
Lori watu zaidi ya 90; aaha lazima lilikuwa nyomi mbaya sana!
 
Back
Top Bottom