Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,603
- 22,717
- Thread starter
- #21
Kumbukumbu muhimu sana kaka,kama msaada watapata tu.sasa mpiga picha amejali kupiga picha kwanza kuliko kuokoa kweli zama za mwisho hizi za kujipenda wenyewe.
Kumbukumbu muhimu sana kaka,kama msaada watapata tu.sasa mpiga picha amejali kupiga picha kwanza kuliko kuokoa kweli zama za mwisho hizi za kujipenda wenyewe.
Hizi ajali zitatumaliza tusipokuwa makini na kuzingatia sheria za barabarani.Nidhamu ya barabarani unapokuwa na chombo cha moto ni muhimu sana.Tatizo lingine kwa waendesha bodaboda wanaotumia hizi barabara kuu za mikoani wanapenda sana kuzidisha abiria na hata mizigo.Nadhani adhabu kali itolewe kwa bodaboda anayekiuka sheria hizi.Tumechoka sana na hizi ajali khaa!!
Sio kuchukulia poa sababu waliokumbwa na ajali huwafahamu/huwajui kwa kweli inasikitisha sana
Ajali mbaya inakua hivi ? bodaboda anapiga simu ?
Kumbukumbu muhimu sana kaka,kama msaada watapata tu.
Inategemea maisha yako umeishi wapi...Kama wewe ni wa IRAQ, hiyo ni sawa na sherehe tuAjali mbaya inakua hivi ? bodaboda anapiga simu ?
Yaani we acha tu, kama ingekuwa kuna action ya wengine wamewasogelea majeruhi angalau sio mbaya kupiga picha kwa documentation lakini all in all subject ni ajali mbaya imetokea hivyo picha ni baadae sana kwani hata kimaadili haturuhusiwi kuonyesha picha inayoonyesha maiti na ndio maana hata wenzetu tunao copy na ku-paste baadhi ya tamaduni ni ngumu kukuta wameweka miili ya watu hadharani labda kama ajali imetokea kwa janga flani tena inapgwa miili ikiwa imefunikwa. (ukiona wametoa picha ya maiti ujue huyo mtu either alikuwa ni adui yao kutokana na siasa zao za mashariki na magharibi)Ni kweli mkuu huu utandawazi unachangia huduma ya kwanza ishuke siku hadi siku badale yake wanachojali kupiga picha na ukiangalia hapo kuna gari kubwa(BASI) kama sijakosea angalia kioo cha upande wa dereva kikubwa, na BASI nina uhakika lina abiria kwahiyo uwezekano wa kutoa msaada upo.
Majeruhi anajisaidia mwenyewe kwa kuomba msaada kwa simu kwa watu walio mbali kuwafahamisha nimepatwa na ajali, wakati alihitajika aliye karibu kufanya hivyo huku wakiendelea na kuwapa huduma ya kwanza na zoezi la uokoaji kwa ujumla
Kuna aina ya kumbukumbu za kuweka, kimaadili kumbukumbu za ajali huwa mara baada ya ajali kutokea na majeruhi kuokolewa then picha zinapigwa baadae tena linapigwa vyombo vya moto na majeruhi wa ajali, ila kwa kuwa tumezoea kupiga picha bila "consent" ya mhusika huwa tunachukulia poa tupiga mpaka maiti na kuzionyesha hadharani.Kumbukumbu muhimu sana kaka,kama msaada watapata tu.
Huyo hajawahi kupata ajali, hajui kwamba unapopata ajali mwili umepewa uwezo wa kupata ganzi kwa muda hivyo unakuta mtu kama viungo havijavunjika au hata kama vimevunjika anajikongoja alafu baada ya muda anazirai au maumivu makali yanafuata, mtu kupiga simu wakati mwingi hajielewi na wala hasikiii chochote na haimanishi kwamba hajaumiaInategemea maisha yako umeishi wapi...Kama wewe ni wa IRAQ, hiyo ni sawa na sherehe tu
Teh teh,.. Hujaona maiti hapo pembeni mkuu bategereza?
Kuna aina ya kumbukumbu za kuweka, kimaadili kumbukumbu za ajali huwa mara baada ya ajali kutokea na majeruhi kuokolewa then picha zinapigwa baadae tena linapigwa vyombo vya moto na majeruhi wa ajali, ila kwa kuwa tumezoea kupiga picha bila "consent" ya mhusika huwa tunachukulia poa tupiga mpaka maiti na kuzionyesha hadharani.
Mkuu watu wanaijadili hiyo picha sio mleta uzi / mpiga picha maana hata kama picha imepigwa lakini hakuna hata dalili ya mtu au kivuli cha mtu kinachoonyesha angalau kuna mtu anamsaidia huyo jamaa kumnyanyua na kumsogeza pembeni kwa msaada mwingine sio wa saloon car, mara nyingi huwa tuna deal na watu walioonyesha dalili ya uhai au nafuu kama huyo mwenye Tshirt ya blue (kwa kawaida hutakiwi kumpakia abiria wa ajali kwenye saloon car kwa kuwa anahitaji kubebwa kwa utaratibu maalumu kwa kumlaza ili usiweze kuharibu uti wa mgongo na viungo vingine muhimu). By the way mleta uzi tunamshukuru kwa taarifaNakubaliana na wewe mkuu. Kumbu kumbu na msaada. Wakati mwingine kwa kweli huna hata jinsi itasaidia nini sasa mtu kafa au anavuja damu kama bomba la maji na una saloon car? Hata police hutua pick up kubeba watu wa aina hii so kutoa habari ni msaada pia.
Tusiwe wanafiki jamani hivi kweli una salon car. Umekuta majeruhi 3 wanavuja damu mtindo mmoja utawapakiza ndani?
Tuache sifa za kijinga. Coz binafsi sitapakiza kwa kweli na cku yakinikumba mimi for sure nitamuelewa mwenye gari akikataa.
Kuna majeuhi na majeruhi wengine sio doctors hatuna msaada na gari ni salon.
Ni kuwaombea Mungu na kusubiri zamu yako ikifika basi twende kazi.
Ajali mbaya inakua hivi ? bodaboda anapiga simu ?
Ajari haina kinga ila za kwetu nyingi zinazuilika maana ukiangalia vyanzo vya ajali unashangaa maana wengine ana over take kwenye kona tena yupo mafuta mengi, sheria zetu ni nzuri tatizo utekelezaji wa sheria kwa wahusika umekuwa mgumu mwisho wa siku wao wanachojua ni kuwapiga fine tu watu na kutoa leseni bila kufuata kanuni. Kujua kuendesha gari ni zaidi ya kuendesha bali pamoja na kujua sheria za usalama barabarani)Hizi ajali zitatumaliza tusipokuwa makini na kuzingatia sheria za barabarani.Nidhamu ya barabarani unapokuwa na chombo cha moto ni muhimu sana.Tatizo lingine kwa waendesha bodaboda wanaotumia hizi barabara kuu za mikoani wanapenda sana kuzidisha abiria na hata mizigo.Nadhani adhabu kali itolewe kwa bodaboda anayekiuka sheria hizi.Tumechoka sana na hizi ajali khaa!!