Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,272
- 96,398
picha ya nini mkuu!watu wanahangaika kuokoa we unataka picha kweli???
Maiti inaokolewaje tena?
Alazwe pema peponi. Hizi tukutuku zitatumali walah
picha ya nini mkuu!watu wanahangaika kuokoa we unataka picha kweli???
Kumbe wewe ni nani?
Unaona ugumu gani kesema mahali pema peponi?
lengo lako tujue kwamba unagari mwone kichwa chako
hahahah ngoja nami nisubirie jibu
kwani unafikiri kuwa na gari dar ni ufahari?, usiwe kama watu wa mikoani ambao wanashangaa mtu akinunua gari wakati anaishi kwenye nyumba ya kupanga, kwa dar gari sio luxury au sifa ni jambo la muhimu, na sio wote wenye magari wamelipa cash, wengi wetu tuna madeni.lengo lako tujue kwamba unagari mwone kichwa chako
Tatizo wenye magari wanawadharau waendesha Pikipiki maana wanawaona kama vile hawana haki ya kutumia barabara.Ni magomeni mapipa ambapo imehusisha gari ya kampuni inayojenga barabara ya morogoro ya STRABAG kugonga muendesha pikipiki na kusababisha kifo chake palepale