Ajali mbaya ya basi

Ajali mbaya ya basi

hilo eneo linajulikana kama driver acha uvivu, hamna trafic jiran wala tochi ni 120kh kwa madereva wengi but R.I.P wote
 
Nadhani 2takuwa 2mempoteza mwanachama wa chadema mungu mpe pumziko la milele
 
Mbona eneo lile ni tambarale na road imenyoka kabisa
 
ni habari za kusikitisha. Poleni majeruhi na wafiwa
 
Mbona eneo lile ni tambarale na road imenyoka kabisa
kwa nilivyoelewa mm anaongelea ruaha mbuyuni-iyovi....., hili eneo lina lami mpya ila kona ni nyingi sana kwa sabb u drive along mto ruaha..., stretch zilizonyooka ni chache sana...,

Poleni victims...,
 
Asante kwa taarifa, majeruhi tunawaombea kwa Mungu awape afya njema na waliopoteza maisha wapate pumziko la milele Amina.
 
We unafikiri gari inapataga ajali kwenye barabara chafu ni hayohyo maeneo yaliyonyooka dereva anajisahau anamaliza kisahani chote alafu anapitiwa na usingiz,R.I.P wote mliopoteza maisha na majeruhi Mungu awasaidie muweze kupona haraka
Mbona eneo lile ni tambarale na road imenyoka kabisa
 
mwanangu huna pic hata moja,
inaonyesha inatisha
 
Poleni wale wote waliopatwa na janga hili na nasema MUNGU mwenye mamlaka awape nguvu na mpone mapema muweze kuendelea na malumbano ya maisha hapa Nchini na wote wale waliofikwa na mauti nasema MUNGU awape rehema zake na mlale kwa AMANI yake pekee!
 
Back
Top Bottom