No war
Member
- Jun 28, 2013
- 26
- 8
ajali mbaya ya basi imetokea majira ya saa nne na nusu usiku wa leo katika eneo la ngarenaro darajani na kusababisha watu kadhaa kufa nwa wengine kujeruhiwa vibaya.
ajali hiyo ilihusisha magari mawili aina ya hiace,moja likiwa linatoka maeneo ya njiro makuburi ambako walevi walikuwa wametoka katika mazishi ya mnywa gongo mwenzao aliefarika kutokana na kunywa gongo na nyingi na mwili wake kukauka kama dagaa wa Zanzibar,huku gari la pili liliokuwa limebeba wapishi wa pombe aina ya dadi kutoka maeneo ya mbauda.
katika ajali hiyo,dereva alokuwa akitokea njiro alijeruhiwa vibaya na sasa hivi yupo katika hospitali ya mount meru akiwa ametundikiwa dripu mbili za chupa ya gongo na dripo moja ya maji ya matango ili kuimarisha afya yake.
kwa habari zaidi sikiliza radio *******fm