Ajali mbaya tena mbaya mataa ya ubungo...

Watu hebu acheni kuwa serious kama vile mpo kwenye jukwaa la siasa au mpo kwenye jukwaa la katiba.

Hazmuoni kama ameweka kwenye jukwaa la utani na at the end of the day post hiyo ni utani?

Kabla hamjakurupuka kuponda post za watu angalia kwanza upo jukwaa gani.

afadhali ulvowaambia mkuu,mijitu mingine bana aarggh yoo...
 
ni ajali ya kutisha imetokea sasa hivi kati ya fuso na bajaji,fuso lipo meng'e meng'e dereva na watu wawili wamepoteza maisha,ila bajaji imevunjika taa tu yoo
wewe dogo kwa pumba pia masiala aya lazima hii nvua ya jana na leo imekunyea aswa, tena imekunyea mdomoni
 
Back
Top Bottom