ajali Mbaya Nshambya Bukoba

ajali Mbaya Nshambya Bukoba

KAUDO

Senior Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
138
Reaction score
67
kuna taarifa za kutokea kwa ajali mbaya maeneo ya Nshambya nje kidogo ya Bukoba iliyosababisha vifo na majeruhi.Mlioko Bukoba tupia taarifa zaidi pls
 
6.jpg
 
Naona kama hilo gari limepiga kyankomela i.e limebinuka juu chini ama naelekea kuzeeka!

Vip chanzo ni nini tena ama dreva alishakunywa 'kalinya'?
 
Back
Top Bottom