Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,919
Hii habari imenisikitisha sana baada ya kusikia mmojawapo ya aliyekufa ni afisa kilimo niliyewahi fanya naye kazi fulani hapo Mangaka. Wapate pumziko la milele.........amina.imetokea ajali leo jion hapa ndanda Masas mkoan mtwara ya toyota land cruiser ya serikali STK fulan, hata picha sijataman kurushia maana ni hatari tupu, watu 2 wamepoteza maisha hapohapo. Maiti zilibanwa imebid gari ikatwe vipande vipande kuondoa miili. Mtu mmoja amebanwa masaa 3 akipatiwa huduma ya kwanza hapohapo. Nasikia ni maofisa wa wilaya ya Nanyumbu Masasi wakitokea semina. Yan mait zilibanwa dreva amekauka kimya amekufa, zoez la kuwatoa ni kwa mashine kuwachomoa ilishindikana. Halaf ni jiran kabisa na HOSPITAL ya NDANDA ni umbali wa mita 15 tu. Hongera kwa WAJERUMANI WA ABASIA YA NDANDA kwa juhud kubwa za kutoa miili ile. Wastarehe kwa Amani.