Ajali mbaya Msata

Ajali mbaya Msata

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,102
Bus la Jay toka Dar kuelekea Tanga limepata ajari, Lilikuwa lina overtake kwenye daraja liligonga pikipiki ikiwa na watu wawili wote wamekufa, bus lilipoteza mwelekeo na kwenda kugonga muembe na kusababisha dereva kufa hapo hapo mpaka sasa dereva ameshindwa kunasuliwa kwenye usukani.
 
pole wafiwa wote na walopata majeraha mungu awajalie kupata nafuu mapema, Amina
 
Chanzo cha ajari ni mwendesha boda boda kulazimisha kupita kwenye daraja huku akiliona bus linakuja
 
Du naona ajali zimeanza tena. Nimesoma kuwa basi la Nganga nalo limepata ajali leo na watu kadhaa wamekufa, na hii ya Msata ni ajali nyingine ya basi kwa siku ya leo pia imeua. Inasikitisha sana, poleni majeruhi na wafiwa.
 
Bus la Jay toka Moro kuelekea Tanga limepata ajari, liligonga pikipiki ikiwa na watu wawili wote wamekufa, bus lilipoteza mwelekeo na kwenda kugonga muembe na kusababisha dereva kufa hapo hapo mpaka sasa dereva ameshindwa kunasuliwa kwenye usukani.

mungu awatangulie
 
Poleni sana kwa matukio ya leo. Sijui itakuwaje mpaka saa 12 jioni ya leo?
 
duh wafiwa wote poleni sana.tuko pamoja katika kipindi hiki kigumu.
 
ndio hata mimi napita hapa wami baada ya kumaliza kupita daraja kuna lori lime anguka na kufunga barabara hakuna kupita gari za kutoka chalinze na kutoka tanga zote zinapita njia ya porini naona kuna polisi wana elekeza magari .
 
Asubuhi pale external junction ya Puma nimekuta ajali ya namna hiyo. Mtu wa bodaboda kagongwa/kagonga daladala! Mungu tuepushe na haya.
 
Back
Top Bottom