Ajali mbaya Mbezi kwa Msuguri!!

Ajali mbaya Mbezi kwa Msuguri!!

Ajali zote duniani ni mbaya hiyo ya kwako sijui ni ipi
 
Hana picha huyoooo.... c aseme ukweliiii tu!
 

Attachments

  • 1410650771540.jpg
    1410650771540.jpg
    65.3 KB · Views: 367
Humu jf huwa sometimes nashindwa kuelewa mtu akiweka picha mnamsema kuwa alikuwa Bize kupiga picha badala ya kuokoa majeruhi.
wasipoweka tena wanaitwa waongo. So which way is the best that shall not attract an offense.

otherwise let us pray to God to rescue us from these accidents.
 
Tumia akili kidogo bac ... hata nguvu zako za kiume zikipungua utaisingizia ccm

Hahahaaaaa u made my morning...! Eti hata nguvu zako za kiume zikipungua utasingizia CCM.
 
Nguvu za kiume ni matokeo ya lishe inayotokana na maisha bora yanayoletwa na sera bora

kiongoz umenifurahisha unajua kuna watu wanashindwa kuelewa kuwa kuna uhusiano kati ya ajari na sera mbovu. mf.dereva analipwa mshahara kidogo,inabidi aendeshe kasi ili awapite wengine apate abilia apate pesa mwisho wa hiyo ligi ni ajari. nk.
 
Back
Top Bottom