Ajali Mbaya maeneo ya TSN Mikocheni

duh! so sad.
 
Tatizo hapo ni madereva wengi wa Dar hawajui / hawawezi defensive driving. Pamoja na kuwa dereva wa daladala katanua lakini dereva wa gari la jeshi bado angeweza kuokoka angeapply defensive driving coz angekubali kumpisha dereva wa daladala pamoja na kuwa yeye ndio ana haki ya njia pengine ajali ingeepukika. Lakini kukoma kwa kuwa tu wewe ndio una right of the way saa nyingine kuna madhara kwa kuwa unayemkomalia (aliyetanua) saa nyingine anaweza kuwa mvuta bangi kwa hiyo kuishia kwenye ajali ambayo ingeweza kuepukika kwa ku-apply defensive driving techniques.
 
tatizo la wanajeshi nao wanakomaa sana.. Ina maana hawajui kuwa madereva wengi wa daladala hasa deiwaka wanapiga jani?
 
Jamani daladala hizi! hivi kwanini wao tu ndo wanajiona wana haraka kuliko wengine? Ona sasa haraka zake dereva wa daladala zinaishia kupoteza maisha ya watu wasio na hatia namajeruhi na yeye mwenyewe anaenda kusota MOI na pingu kitandani..
 
Duh! Watakuwa wamewaaga wake,watoto na waume zao kuwa "tutaonana jioni eeh" rip walio poteza uhai.
hizi fikira zako zingelikuwa zimo vichwani mwa watanzania (na kwingineko) nadhani tungeliongeza umakini katika maisha na vilio bila ya shaka vingepungua idadi!

 

Aisee kwa mawazo yako bado safari ni ndefu
 
Huwa nawashangaa watu wenye tabia kama yako. When i was a kid niliambiwa its rude to ask such questions. Najijutia kuwa hata wanao watakuwa na tabia hizi hizi. Pole sana.

Unamatatizo wewe! Nimemuuliza Pasco, na amenijibu vizuri tu. Sasa huu ujuaji wako wanini kwangu! Live your own life small alligator...kima wa nike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…