Nimegundua hakuna mwenye uhakika na maisha, yan gari imetoka upende mwingine imeenda kuua upande mwingine pamoja na kwamba kuna mawe makubwa ya kuzuia gari kuvuka
wiki mboli zilizopita echa la mbagala na tata zimeumana usokwauso, ukweli ni kuwa hapo kuna kosa la kihandisi, kwenye hiyo kona barabara badala ya kulalia ndani imelalia nje, hapo hata ukija na speed 50 lazima uchochole, viongozi wetu wanapita hapo, ulega anapita hapo na kosa wanaliona na hawachukui hatua, hatakama ni fedha za world bank zisitufanye wajinga