AJALI MBAYA KILWA ROAD (kituo cha msikitini)

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
MUNGU NDIYE MJUAJI...... nilipita asbh ya leo nikiwa njiani kuelekea kazini, nimekuta daladala mbili zimegongana , moja ni ya mwenge mbagala na ya pili ni mbagala feri. hali ni mbaya hasa ile ya mwenge inaonekana kama imlipinduka kisha ikasimama tena. wako vijana pale wanajaribu kubamandua sehemu zilizobondeka ili kutoa nahisi itakuwa ni maiti, bila kusahau vibaka nao wapo kazini wanjitihada kubwa ufikiri wana imanu kumbe nia kubwa ni kuwaibia majeruhi KWA UFUPI HALI NI MBAYA.
 
hiyo ndiyo kazi yao pale. Ukipata ajali au kuharibikiwa maeneo yale kama unaweza kuondoka kwa haraka fanya hivyo
 
yaani c watanzania cjui ni nani,ametuloga!wakati hiyo barabara haijarekebishwa madreva wengi walikuwa wanalalamika sana kuwa ina mabonde na kweli sehemu hiyo ya msikitini kulikuwa kama na tuta furahi,ila kwa sasa baada ya kurekebishwa karibia kila cku maeneo hayo kuna ajari eti barabara ina teleza sana!kwani akiishusha kutoka mtongani/mission ni hatari,kipi ni kipi?madreva kuweni makini,matatizo tuliyo nayo yanatutosha jamani.
 
Poleni nyote mliopatwa na janga hlo,madereva kuweni makini jamani pindi mnapokuwa kwa road na yawapasa mtambue kuwa mmbeba roho za wa2 na co magunia ya mahindi!
 
Back
Top Bottom