Ajali mbaya karibu na mizani ya Dodoma: Inahusisha Gari la JWTZ na Bus la Mohamed

thom71

Member
Jan 3, 2014
36
9
Chanzo ni dereva wa jeshi aliingia upande wa bus ndipo dereva wa basi akalikwepa na kwenda nne ya barabara dereva wa jeshi alibanwa miguu kama uonavyo wasamalia wema wanahangaika kumtoa dereva.

attachment.php
 
Attachments

  • 1392825143532.jpg
    1392825143532.jpg
    84.4 KB · Views: 1,939
  • 1392825204664.jpg
    1392825204664.jpg
    41.1 KB · Views: 3,251
  • 1392825225665.jpg
    1392825225665.jpg
    97.7 KB · Views: 12,442
Shukrani kwa kutujuza keep it up ila tupe namba za gari la jeshi km linavyoonekana
 
Mohamed trans ilikuwa ikitokea Dar kuelekea Mwanza ndani ya bus Hakuna maheruhi isipo kuwa bus limekwaruzwa upande na lorry hilo la jeshi. Wanajeshi watatu wana maharaja kidogo ila dereva baada ya kutolewa miguu inaonekana imevunjika. Lorry limebeba vitu vya ndani ikiwemo mifugo kama bata na kuku kuna mmojawapo alikuwa akihamishwa.
 
Oparesheni KIMBUNGA...........................!!!!!!!!!!!!!!!
 
na hapo super jesh nimeona kuna ajari kuna gari imeingia mtaroni matairi yApo juu mwenye newz zaidi atujuze
 
Back
Top Bottom