Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
Mh hizi ajari mpaka lini jamani. polen watu waliohuska na ajari. Kwa marehemu RIP.
Asante kwa taarifa,ila naomba uweke wazi ni basi la kampuni gani?
Mkuu, nimegundua watu ni wavivu sana kusoma, au hawajui hata skimming............duh!!Basi la kampuni ya New Force lenye namba za usajili T666 BCR lililokuwa likisafiri kutoka jijini Dar es Salaam Kwenda Mkoani Mbeya limepata ajali na kuua watano papo hapo.
Mkuu, nimegundua watu ni wavivu sana kusoma, au hawajui hata skimming............duh!!