Ajali mbaya gari la POLISI

Shaycas

JF-Expert Member
Feb 13, 2009
906
110
Ajali mbaya imetoka hapa MONDULI(karibu na kituo cha mafuta GAPCO) pale gari la polisi na.PT 0748 lilokuwa linatoka stand ya Monduli kupata ajali hiyo.

Chanzo cha ajali ni Mwendokasi kubwa iliyomfanya dereva huyu ashindwe kulimudu gari pale alipokuwa anamkwepa mwendesha mkokoteni ambaye alikuwa mbele yake.

Gari hilo lilikuwa na askari watatu ambao wote walikimbizwa ktk hospitali ya Monduli na inasemekana hali zao ni mbaya.

Ajali imetokea mishale ya saa 10.15 jioni
 
Kweli hatupendi ajali lakini hawa polisi wanaendesha rafu sana. Mimi huwa wananichefua sana, tena unakuta wala hawawahi kwenye lindo basi ni ubabe tu barabarani.

Halau akikugonga sheria inamlinda. Upuuzi mtupu. Acha waipate fresh.
 
hivi huwa wanatoka kasi bila kuwasha king'ora au?
 
hawa polisi huwa mara zote wanamatatizo, hata sehemu ambazo hawatakiwi kufanya ujinga wao wanafanya kwa kuwa wapo juu ya sheria
 
Kwanza Pole kwa waliopata ajali, nawatakia mpone na mrudi kulitumikia Taifa kwani tunawahitaji.

Pili, Ukiondoa Rais aliyeko madarakani hakuna aliye juu ya sheria.

Kuna kasumba za ujinga sana kwa watu ambao ni waajiriwa serikali.....thinking that they belong to a different planet.........ndio maana utakuta.....wanajeshi wanapiga piga tu watu hovyo......polisi na vurugu zao barabarani.............ukienda huko mawizarani kupata service ndio utafikiri umeenda kuomba favor.......inaudhi sana
 
Back
Top Bottom