Ajali Mazoezini

Ingekuwa kwetu tungesema majani yanahusika au hicho kivuli akajua ameshafika sehemu ya kuruka?
 
Ameanza kwa mbwembwe huku kapiga goggles akamalizia kupiga mgongo chini-pwaaaa!
 
Hawa nao kujidai na miwani za jua hata kwenye kuruka, kiranga komo!
 
mie sijamuelewa mpaka sahvi!! hayo nimazoezi ya kujidondosha au kuruka kudondokea kwenye godoro! coz alivyoruka hata kwa bahati mmbaya asingeweza kuangukia godoro!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…