Ajali maeneo ya buguruni

Tanzania bado tuna tatizo kubwa la madereva na watumiaji wa barabara kutokuwa makini barabarani na kuendesha magari mabovu
 
Watujengee barabara za juu ili malori yapite peke yao ajari zitapungua
 
tujaalie kama kuna majeruhi au vifo! ninasikitika na ajali hizi za kila siku!
 
hiyo sio ajali wenyewe wanaita kapigwa PASI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…