Ajali: Lori lagongana uso kwa uso na gari na Toyota ninayohisi ni ya polisi eneo la Misugusugu Kibaha

Ukileta Habari halafu hapo hapo tena unaweka neno Kuhisi inakuwa haina Mantiki.

Hii nguvu uliyotumia kuwahi Kutuletea hii Habari JF kwanini usingeitumia Kuthibitisha tukio?

Asante kwa kutuletea Taarifa ya Kuhisi.
Nimeona kwa macho nikiwa ndani ya gari.

Ningekuwa nimesimama ningepata undani wa ajali.

Kabla sijaleta uzi nimeperuzi kuangalia kama kuna mtu katangulia kutuhabarisha, nilipoikosa hii habari humu ndipo mimi nikaileta.
 
Back
Top Bottom