Ajali kama hiyo ilishawahi kutokea katikati ya Magomeni Mwembe chai na Magomeni Kagera, pale kwenye kituo cha mafuta, DCM liling'oka difu kama hiyo basi...
Wewe unashangaa hiyo kipindi
Cha mabas ya Tanganyika basi
lilifyatuka diff nzimanzima diff
Ikaenda kumparamia mama anatoka kliniki mama wa watu alikufa pale pale
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.