sister JF-Expert Member Joined Nov 23, 2011 Posts 9,014 Reaction score 6,853 Jul 10, 2012 #21 Excellent said: Pole sana my dia,ningekwepo ningekubeba fasta nikupeleke hospital i can take care of u Click to expand... acha tu nilipigwa sana madogo especial wanaume ndo walikuwa wanaongea sana.
Excellent said: Pole sana my dia,ningekwepo ningekubeba fasta nikupeleke hospital i can take care of u Click to expand... acha tu nilipigwa sana madogo especial wanaume ndo walikuwa wanaongea sana.
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,373 Jul 10, 2012 Thread starter #22 sister said: acha tu nilipigwa sana madogo especial wanaume ndo walikuwa wanaongea sana. Click to expand... but wenzetu hata ukisema akili yangu leo haijatulia wanakuruhusu ufanye mambo yako,ila wabongo watakushushua
sister said: acha tu nilipigwa sana madogo especial wanaume ndo walikuwa wanaongea sana. Click to expand... but wenzetu hata ukisema akili yangu leo haijatulia wanakuruhusu ufanye mambo yako,ila wabongo watakushushua
driller JF-Expert Member Joined Aug 25, 2011 Posts 1,116 Reaction score 246 Jul 10, 2012 #23 hivi mnawasifia wa tz hilo ni jambo la kuwasifiaaa;;;; mi nadhani ndio majinga kuliko wote,,, bora mwarabu anaekwambia u nid to go to the hospital
hivi mnawasifia wa tz hilo ni jambo la kuwasifiaaa;;;; mi nadhani ndio majinga kuliko wote,,, bora mwarabu anaekwambia u nid to go to the hospital
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Jul 11, 2012 #24 Excellent said: bongo wanakupora kwanza wakichukua kila kitu wasamaria wema ndo watajitokeza Click to expand... Wataonekana wasamaria wema tu kwa sababu huna kitu wakati huo, ila kama utakuwanacho watakuwa vibaka tena
Excellent said: bongo wanakupora kwanza wakichukua kila kitu wasamaria wema ndo watajitokeza Click to expand... Wataonekana wasamaria wema tu kwa sababu huna kitu wakati huo, ila kama utakuwanacho watakuwa vibaka tena
Me370 JF-Expert Member Joined Mar 10, 2008 Posts 985 Reaction score 293 Jul 11, 2012 #25 Bongo Tambarareeeee
KML JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 861 Reaction score 134 Jul 11, 2012 #26 huyu ndo hajui bongo hamna mtu mwenye mda wa kuongea na wewe watu wanaongea na mifuko yako kwanza