yani TZ ni noma nilishawahi kudondoka kwenye daladala mana joto lilizidi na foleni ..............unajua walichokuwa wanaongea abiria ni nini....................hawa masista du hawali usiku na akila anakula kidogo matokeo yake anakosa nguvu kumbe mwenzao naumwa....................yani walibishana mpaka wanapata idea ya kunipeleka hospital lisaa limepita.We kiazi nini!!!!Umekuja juzi town!!!
hahaha TZ ndo mpango mzima!
yani TZ ni noma nilishawahi kudondoka kwenye daladala mana joto lilizidi na foleni ..............unajua walichokuwa wanaongea abiria ni nini....................hawa masista du hawali usiku na akila anakula kidogo matokeo yake anakosa nguvu kumbe mwenzao naumwa....................yani walibishana mpaka wanapata idea ya kunipeleka hospital lisaa limepita.
ah wapii..........hiyo gari ilikuwa ya shamba.Pole sana!!Eti masister duu hawali!!!hiyo gari ilikua ya nyumbani kwetu Mbagala bila shaka!!
boss wetu alishawahi kupata ajali tena badala ya kumsaidia wakamwibia hela, simu, wakachomoa radio wakasepa...........wengine ndo wakaja kumsaidia kumpeleka hospital na kwasababu walimchelewesha akafariki.
ah wapi sina qualification kama zake.so that y u r boss now, kweli kufa kufaana
Pole sana my dia,ningekwepo ningekubeba fasta nikupeleke hospital i can take care of uyani TZ ni noma nilishawahi kudondoka kwenye daladala mana joto lilizidi na foleni ..............unajua walichokuwa wanaongea abiria ni nini....................hawa masista du hawali usiku na akila anakula kidogo matokeo yake anakosa nguvu kumbe mwenzao naumwa....................yani walibishana mpaka wanapata idea ya kunipeleka hospital lisaa limepita.
bongo wanakupora kwanza wakichukua kila kitu wasamaria wema ndo watajitokezaboss wetu alishawahi kupata ajali tena badala ya kumsaidia wakamwibia hela, simu, wakachomoa radio wakasepa...........wengine ndo wakaja kumsaidia kumpeleka hospital na kwasababu walimchelewesha akafariki.
Pole sana my dia,ningekwepo ningekubeba fasta nikupeleke hospital i can take care of u