Ajali imetokea Mbezi Beach Tangi bovu

Ajali imetokea Mbezi Beach Tangi bovu

mteeq

Member
Joined
Sep 8, 2014
Posts
43
Reaction score
17
Kuna ajali imetokea majira ya saa kumi na mbili maeneo ya mbezi beach Tangi bovu barabara ya bagamoyo kati ya gari la mizigo Fiat 682 lililobeba container na gari dogo cami. Hakuna aliyepoteza maisha, wapo waliopata majeraha madogo.
 

Attachments

  • 1412954460565.jpg
    1412954460565.jpg
    56.5 KB · Views: 1,664
  • 1412954484912.jpg
    1412954484912.jpg
    77.5 KB · Views: 1,504
Hii barabara baada ya kupanuliwa ajali zimekuwa nyingi, watu wanaendesha kwa speed kali hadi sisi watembea kwa miguu inakuwa tabu kuvuka barabara kwan hata alama za pundamilia madreva hawazijali.
 
Barabara hiyo haina taa za barabarani hivo ni shida sana kujua alama za barabarani nyakati za usiku ukizinfatia wanaotoka mwenge kwenda tegeta ni spidi vilevile wa tegeta kwend mwenge ni spidi alafu uchomekeaji ni kero sana hiyo njia ndio maana ajali ni nyingi nyakati za jioni
 
Dah!pole yake mwenye cami mana najua huo mFIAT 682 N3 ni ngalangala halafu full chuma hakuna plastic hapo km malori ya kisasa,hlf migari hii karibu yote ni mabovu hayana brek lkn nashangaa yanaachwa barabarani tu yatembee!!
 
Tank bovu una ndugu wengi?
dogoo za atlanta. Ulipokuja likizo bongo nilikuona nmb branch tangi bovu ukiwithdraw mkwanja wa maana. Ila dogooo nakukubali kwa kubeba boksi. Mm hapa nshamaliza kufagia naelekea ghetto shared student apartment
 
Kila ki2 in our beautiful country bongo hovyo. Watu wanaish kimungumungu tu. Bila aibu nå kuogopa kwenye magrocery na mabar ucku utakuta Watu wamepaki magar yao. Wakishakunywa hawajali wanaendesha gar. Thats selfishness. Humjali motorist mwenzako ambaye anaendesha kwa usalama. People don't care. I hate irresponsible citizens. Nå ndio tabia zetu hiz tulizorith popote tulipo dunian tunabhave hovyo. Hatujal
 
Huwa nikisikia kuna ajali hayo maeneo huwa napatwa na hofu sana!
Ucwe nå hof kila ki2 shwar. Ila ukiwa mbali na ndugu wac wac ni mwing Sn. Nikuomba aman ili mtu uwe nå full concentration ya kutafuta laif.
 
Tank bovu una ndugu wengi?

Tangi Bovu/ Mbezi beach ndo nyumbani....ile stretch kuanzia pale darajani hadi Makonde....nikisikia ajali imetokea huko kama sipo nyumbani naanza kupiga simu.

We ukiwa hauko nyumbani kwako halafu usikie ajali imetokea maeneo ya karibu hupatwi na hofu?
 
Tangi Bovu/ Mbezi beach ndo nyumbani....ile stretch kuanzia pale darajani hadi Makonde....nikisikia ajali imetokea huko kama sipo nyumbani naanza kupiga simu.

We ukiwa hauko nyumbani kwako halafu usikie ajali imetokea maeneo ya karibu hupatwi na hofu?
Nyani N mazaria sana kukufaham tayar umeshanipa hints. Kuna vjana pale kwa msomali, bamboo, shimoni nå engen nishawapa kazi yakukujua. Pia Kuna dogoo mwengine snitchy yupo maeneo ya massana Pia ameomba ashirikishwe kwenye zoez hili.
 
Back
Top Bottom