Ajali imetokea Mbezi Beach Tangi bovu

Ajali imetokea Mbezi Beach Tangi bovu

Nilishasema upembuzi yakinifu ya hii barabarauna walakini! Ajali lukuki kwenye barabara mpyasio kitu kizuri lazima kuna walakini.
 
Tangi Bovu/ Mbezi beach ndo nyumbani....ile stretch kuanzia pale darajani hadi Makonde....nikisikia ajali imetokea huko kama sipo nyumbani naanza kupiga simu.

We ukiwa hauko nyumbani kwako halafu usikie ajali imetokea maeneo ya karibu hupatwi na hofu?

Mimi home kuanzia jogoo hadi tegeta..
 
Kuna ajali imetokea majira ya saa kumi na mbili maeneo ya mbezi beach Tangi bovu barabara ya bagamoyo kati ya gari la mizigo Fiat 682 lililobeba container na gari dogo cami. Hakuna aliyepoteza maisha, wapo waliopata majeraha madogo.

Hiyo Siyo Ajali Bali Ni Tukio Tu La Kawaida ILA Ajali Ni Mpaka Tusikie ISRAELI Kafanya Kazi Yake!
 
Huwa nikisikia kuna ajali hayo maeneo huwa napatwa na hofu sana!

Hata mimi mkuu, nakaa huko na nina jamaa na ndugu, sasa kamoyo lazima karuke kidogo, na ndio ulimbukeni wetu, kikija kitu kizuri balaa, kikiwa kibovu issue, basi tabu tupu..
 
kila dereva akifuata sheria zinazostahili na mwendo pia ...ajali zingepungua kwa kiasi kikubwa...polen wahanga
 
Ajali ya gari
mbezi beach tangi bovu
 
Imehusisha basi litokalo tegeta -kariakoo, gari aina ya toyota prado na gari dogo Mercedes. Hakuna aliyepoteza maisha, majeruhi ni wachache.
 
Ajari ya magari imetokea leo hii, ijumaa mbezi beach tangi bovu
 

Attachments

  • 1415339758884.jpg
    1415339758884.jpg
    106.1 KB · Views: 241
  • 1415339777970.jpg
    1415339777970.jpg
    108.9 KB · Views: 234
  • 1415339793530.jpg
    1415339793530.jpg
    99.9 KB · Views: 226
  • 1415339812004.jpg
    1415339812004.jpg
    103.4 KB · Views: 220
Back
Top Bottom