gari inapopinduka body linagonga ardhi, hiyo tayari ni impact! Gari haiwezi kupinduka bila impact!
Msome mshana jr hapo juu,ni lazima iwe iwe impact ya uso kwa uso na siyo impact ya aina yoyote inaweza kufungua airbag.Inawezekana hii gari ilikuwa inatua kwa mgongo na matairi alternatively!
Mkuu ni lazima iwe ya on head collision ndiyo airbags zinatoka siyo ma impact ya ubavuni.
Mkuu hadi ubamize pale mbele, ukiviringika na usibamize mbele airbag hazitafumuka!
Gari haiwezi kupinduka halafu isiwe na impact!hivi inajua sensors za airbag(standard) zinakaa wapi?
Gari haiwezi kupinduka halafu isiwe na impact!
Period!
Hahahahaaaa......
Hata kama cause ya ajali ya gari kupinduka ni pancha, at certain point gari hilo lita fanya contact na ardhi ambayo itaresult katika kutoa impact flani...vilevile gari hilo linapo "come to rest" litafanya impact ya kiwango flani na ardhi. Sasa swali ni at that point kwanini air bags zisi deploy?
Hakuna aliyesema hakuta kuwa na impact, Swala ni kwamba hiyo impact imetokea vipi?
Kinachozungumziwa ni ku-deploy airbags na hili tumesema mpaka gari iwe imegonga mbele usoni! sasa kupinduka inaweza ikabiringita kiubavu na hapo airbags hazitokiiii....!!!
Mbona unakuwa mgumu wa kuelewa? nenda hata kwenye wikipedia au auto.howstuffworks.com/car-driving-safety/safety.../airbag.htm uangalie hizo airbags zinatoka kwa namna ipi.....!!!!!
jamani munabishana bure tu nazani nyie wote hamjawai pata ajali labda View attachment 66732iyo nilipata mimi na jinsi ilivyo ni kama maelezo muliyoyatoa hapo juu
Hakuna aliyesema hakutakuwa na impact?Hakuna aliyesema hakuta kuwa na impact
Air bag mara nyingi hu-deploy kama kuna impacts. Kama gari likipinduka bila kugonga kitu chochote basi airbag haitadeploy.
Hujawahi kuendesha gari ndio maana unasema hivyo....Gari inaweza kupinduka kwenye corner kali sana na rough driving pasipo kugonga kitu chochote
Msamehe bure huyo layman maana comment yake inadhihirisha wazi kuwa ni maamuma wa magari, japo angejua hata gari ikipata pancha (hasa tairi la mbele) ikiwa katika mwendo mkali linaweza kupinduka! je kuna collision yoyote hapo kabla ya kupinduka?
Umeona? Mmejiona?Tire ikipasuka mara nyingi ndiyo husababisha kupinduka bila kugonga.
Gari haiwezi kupinduka bila kugonga kitu chochote, hata ingebiduka hewani hewani ingeishia kupiga ardhini, hakuna kitu kinachoweza kupinduka bila kuwa na impact! Excuse me but you are not making any sense!
Kweli bwana, hata mimi ilinikuta hiyo. Nimepinduka kwa kulalia mgongo wa gari na kisha kusimama kwa mataili nje ya barabara na kusimama kwa kugeukia nilikotokea, lakini airbag haikudeploy. Dikugonga kutu sababu nilikuwa namkwepa mwendesha Fuso aliyebeba nyaya toka mikoani pale Ruvu Sekondari saa 11.30 alfajiri. Si unajua wanawahi sokoni kutua mzigo na wanalala huku wanaendesha, alikuwa ananijia uso kwa uso nami nikiwa na familia nzima naenda mikoani, sikutaka kuimaliza familia yangu yote hapo, kumkwepa nikajikuta naticktack. Mungu alivyo mwaminifu, gari ikawa nyang'anyang'a lakini hakuna binadamu aliyechunika mahali popote ingawa wind screen ilikuwa neti tayari. Kwa hiyo I buy the idea kwamba kugonga head on pengine ndio maudhui ya airbags. Asante kwa shule mliyoitoa.
Aliluja! Osiana Mbarikiwa. Anatulinda, na zaidi ya kutulinda anatupatia kitu cha kushuhudia. Sitakufa bali nitaishi, nami nitayashuhudia matendo makuu ya Bwana. (Zab 118:17Gwe ndaga mwaponile! Mwimbie Bwana Mungu wako pambio.
Hujawahi kuendesha gari ndio maana unasema hivyo....
Gari inaweza kupinduka kwenye corner kali sana na rough driving pasipo kugonga kitu chochote