Mwanaukweli
JF-Expert Member
- May 18, 2007
- 4,789
- 1,732
Last edited by a moderator:
Hujawahi kuendesha gari ndio maana unasema hivyo....
Gari inaweza kupinduka kwenye corner kali sana na rough driving pasipo kugonga kitu chochote
Gari haiwezi kupinduka bila kugonga kitu chochote, hata ingebiduka hewani hewani ingeishia kupiga ardhini, hakuna kitu kinachoweza kupinduka bila kuwa na impact! Excuse me but you are not making any sense!
Usilete usanii kama hujaelewa umeambiwa head on impact au collision, sasa wewe unaongea any impact kwani hizo airbag siko nyuma ya bodi ya gari, hujaona gari inaaungukia ubavu au ****** wewe.