Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 486
Jaman,may their souls r.i.p...but most of times shetani@work!
Yaani we acha tu. Eneo hilo limekuwa na ajali nyingi sana na zina utata mtupu.
Huwa kuna nyakati nasahau kakamera kangu ka mchina! So Msiniulize picha! Ila hizi ajali we acha tu!
Leo asubuhi maeneo ya Kibosho road Landcruiser DFP uso kwa uso na pick up hilux. Taarifa zinasema kuwa wale wa kwenye hilux hata maji hawakuomba. Gari imekunywa na kuwa kama karai la zege.
Maeneo ni pale ilipotokea ajali ya lile bus la Lim miezi kadhaa iliyopita. Watu wameanza kuunganisha dots. Ajali nyingi sana hutokea sehemu hiyo ni kwa nini? Kuna mchungaji mmoja aliwahi kufia hapo na familia yake.
POleni sana waliojeruhiwa na Mungu awape afya mapema. Wale walopoteza ndugu zao kwa ajali hii Mungu awape ujasiri wa kuvumilia msiba huu.
Chanzo chahabari kinasema kuwa aliyefariki ni Mtoto wa Mtei (wanamshirikisha Edwin Mtei wa chadema) Sina uhakika sana ila ntawajuza. Aliyekuwa na marehemu amevunjika miguu yote 2 na yule dereva wa landcruiser kuna chuma kimemwingia shingoni so hali yake naye ni tete.
Kuna habari kuwa yule dereva nae kafariki dunia, Mungu awalaze mahali pema peponi marafiki zetu Henry na Aaron Mtei.Chanzo chahabari kinasema kuwa aliyefariki ni Mtoto wa Mtei (wanamshirikisha Edwin Mtei wa chadema) Sina uhakika sana ila ntawajuza. Aliyekuwa na marehemu amevunjika miguu yote 2 na yule dereva wa landcruiser kuna chuma kimemwingia shingoni so hali yake naye ni tete.