simplemind JF-Expert Member Joined Apr 10, 2009 Posts 16,798 Reaction score 9,736 Dec 11, 2011 #1 Ajali imetokea Japan na imehusisha magari 8 aina ya Ferrasis,3 aina ya Mercedes Benz na Lomborgini moja. Magari yote haya ni ya bei mbaya ,hasara inakadiriwa kufikia $ 3.85 milioni. Source BBC.
Ajali imetokea Japan na imehusisha magari 8 aina ya Ferrasis,3 aina ya Mercedes Benz na Lomborgini moja. Magari yote haya ni ya bei mbaya ,hasara inakadiriwa kufikia $ 3.85 milioni. Source BBC.