AJALI: Gari dogo la abiria lagonga trekta kwa nyuma jijini Arusha, mmoja afariki

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,599
6,669
Katika Eneo la Chuo Cha Nelson Mandela Arusha, usiku wa kuamkia leo, Gari dogo la abiria(van) limeligonga trekta kwa nyuma.

Mtu mmoja amefariki na kadhaa kujeruhiwa.

ImageUploadedByJamiiForums1466927374.454815.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1466927383.537738.jpg


Matrekta yasiyo na taa yanadaiwa kuwa tatizo kubwa kwa wakazi wa Arusha.
 
Tatizo watu wengi Arusha wakipata pesa haswa vijijini hununua matrekta kwa ajili ya ujasiriamali kilimo. Uliza ubora wa matrekta yenyewe sasa!!!
 
So sad. Huwa wanashindwa nini kuwa hata torch kwa ajili ya safety. Mbona wiring ya kuweka taaa ni very cheap.

Why wanarisk maisha ya watu namna hiyo.

Jamani trafik nao wawe makini kukagua hz trekta maana majanga yanayosababishwa ni mengi mno..
 
Maeneo ya kia mpaka maji ya chai ni mengi sana hayo matrekta kipindi hik na % kubwa hayana taa
 
Back
Top Bottom