Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,163
- 11,230
Gari kubwa la kuchanganyia Zege (concrete mixing truck) limezidi uzito daraja na kusababisha daraja kuharibika.
Ni lile daraja la Muda lililojengwa baada ya lile la kwanza kuharibika baada ya kupita gari lililozidi uzito.
Kwa sasa magari yanayotumia daraja hilo yamelazika kutumia njia mbadala.